Kitabu hiki cha wanafunzi kimefanikishwa kutokana na ufadhili wa DFID na USAID/Kenya. Wizara ya Elimu ilihusika sana katika kuelekeza juhudi za kitaaluma za Wizara ya Elimu, Baraza la Mitihani nchini Kenya (KNEC), Taasisi ya Wasimamizi wa Elimu ya Kenya (KEMI), Taasisi ya Elimu Maalum ya Kenya (KISE), na Tume ya Kuwaajiri Walimu (TSC).
Kwa pamoja, DFID na USAID wanawasilisha kitabu hiki kwa Wizara ya Elimu kwa minajili ya utafiti katika shule zilizo chini mradi wa kuboresha ujuzi wa hisabati na usomaji nchini (PRIMR). Kitabu hiki ni cha utafiti katika mafunzo ya kiswahili kwenye mfumo mpya wa elimu.
You may place an ORDER of this book. The book will be sent to your e-mail in PDF format. We charge KES 100/- per copy to support our administration costs. Thank you for supporting our works!