Kusoma Kiswahili: Kitabu Cha Wanafunzi Grade 2
Kitabu hiki cha wanafunzi kimefanikishwa kutokana na ufadhili wa DFID na USAID/Kenya. Wizara ya Elimu ilihusika sana katika kuelekeza juhudi za kitaaluma za Wizara ya Elimu, Baraza la Mitihani nchini Kenya (KNEC), Taasisi ya Wasimamizi wa Elimu ya Kenya (KEMI), Taasisi ya Elimu Maalum ya Kenya (KISE), na Tume ya Kuwaajiri Walimu (TSC). Kwa pamoja, […]